/MIZANI YA WIKI 21/10/2018: Je, tuko tayari kiasi gani kukabiliana na majanga?
yt 6765 MIZANI YA WIKI 21102018 Je tuko tayari kiasi gani kukabiliana na majanga - MIZANI YA WIKI 21/10/2018: Je, tuko tayari kiasi gani kukabiliana na majanga?

MIZANI YA WIKI 21/10/2018: Je, tuko tayari kiasi gani kukabiliana na majanga?

Baada ya ajali ya radi kuua wanafunzi na walimu katika shule ya Emaco mkoani Geita tunaangalia ni kwa namna gani taarifa za utabiri wa hali ya hewa zinafanyiwa kazi na namna ambavyo wananchi na taasisi wanajiandaa kukabiliana na majanga ya asili na majanga yasiyo ya asili.
Nurdin Delemani amewaalika, Meneja wa TMA Samwel Mbuya na Kamishna mstaafu wa Polisi, Suleiman Kova.

Original of the video here